Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi akifungua mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli Melia Zanzibar, Julai 30, 2022. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah.
Makamisaa wa Sensa, Anne Makinda (kulia) na Balozi Mohammed Haji Hamza (wa pili kushoto) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi, , Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wa kamat...
Read More