Waziri Mkuu Majaliwa Aongoza Kikao cha Sensa Zanzibar
Jul 30, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi akifungua mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli Melia Zanzibar, Julai 30, 2022. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah.
Makamisaa wa Sensa, Anne Makinda (kulia) na Balozi Mohammed Haji Hamza (wa pili kushoto) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi, , Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Melia Zanzibar Julai 30, 2022. Kushoto ni Mtwakwimu Mkuu wa Serikali , Albina Chuwa na wapili kushoto ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, Salum Kassim Ali