Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Awasili Jijini Mbeya
Jul 30, 2022
Na Jacquiline Mrisho

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya, Jacob Mwakasole pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe leo tarehe 30 Julai 2022 kwa ajili ya ufunguzi wa maonesho ya nane nane yanayofanyika mkoani Mbeya kuanzia tarehe 1 Agosti, 2022.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi