Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiongozana na wataalam wakati akikagua ukarabati wa majengo katika Chuo cha Marekebisho na Ufundi Stadi Sabasaba kwa Watu Wenye Ulemavu, mkoani Singida.
Na: Mwandishi Wetu - Singida
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameelekeza viongozi wanaosimamia ukarabati wa Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu Wenye Ulemavu Sabasaba, kuhakikisha gharama zinazotumi...
Read More