Rais Samia Awaapisha Baadhi ya Viongozi Aliowateua Hivi Karibuni Mkoani Dodoma
Oct 01, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Sylvester Joseph Kainda kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Idriss Ramadhan Mavura kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Suzanne Ndomba Doran kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Junus Purasdus Ndaro kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Alhaj Almas Seleman kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Agnes Kisaka Meena kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hangi Matekeleza Chang’a kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rifai Abdallah Mkumba kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Kamishna wa Maadili Jaji Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi akiwaongoza Kiapo cha Maadili Msajili wa Mahakama ya Rufani, Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo mara baada ya kuapishwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi, Idriss Ramadhan Mavura mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Abubakar Amin Mrisha mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.