Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania
Oct 01, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya kitabu kutoka Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Chen Mingjian mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Chen Mingjian mara baada mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.