Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyii akizungumza na mgeni wake Dkt. Charlotte Hawkins, Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 29-9-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt. Charlotte Hawkins, Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika leo 29-9-2022, katika ukumbi...
Read More