Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kuzindua jengo la Huduma ya Macho, Oktoba 16, 2022. Viongozi hao kutoka kulia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga, Askoku Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na Askofu wa Jimbo la Geita, Flavian Kassala.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makam...
Read More