Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Amos Makalla baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Jijini Abidjan nchini Ivory Coast kushiriki Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika. Tarehe 05 Novemba, 2022.