Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani
Nov 04, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani, Dkt. Jewel Hairston Bronaugh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 4-11-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani, Dkt. Jewel Hairston Bronauagh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 4-11-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakimkabidhi zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani, Dkt. Jewel Hairston Bronaugh baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-11-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani, Dkt. Jewel Hairston Bronaugh, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-11-2022.