Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Bi. Grace Makalla ambaye ni Dada wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, mara baada ya kuwasili katika msiba huo Kijiji cha Kidudwe Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro leo tarehe 17 Oktoba, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Philip Mpango leo tarehe 17 Oktoba, 2022 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Bi.Grace Makalla ambaye ni Dada wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla, Ibada...
Read More