Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatilia filamu fupi inayoonyesha fursa za kiuchumi zinazopatikana Tanzania kabla ya kufungua Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022.
Baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati al...
Read More