Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua kiwanda cha maziwa cha MSS Fresh Milk katika jimbo la Nsimbi mkoani Katavi akiwa katika ziara ya mkoa huo, Disemba 13, 2022. Wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho, Salum Maliki, wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buswelu na kushoto ni Mbunge wa Nsimbo, Anna Lupembe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa kiwanda cha maziwa cha MSS Fresh Milk cha Nsimbo, Sa...
Read More