Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ziara ya Kikazi ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof Ibrahim Hamis Wilayani Kongwa na Chamwino Mkoani Dodoma.
Dec 11, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38802" align="aligncenter" width="800"] Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi Vumilia Nyamoga akizungumza jambo wakati wa ziara ya Kikazi ya Jaji Mkuu wa Tanzania kukagua shughuli za Mahakama Wilayani hapo leo Mkoani Dodoma.[/caption]

Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe.Katarina Revocati akizungumza jambo wakati wa ziara ya Kikazi ya Jaji Mkuu wa Tanzania kukagua shughuli za Mahakama wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma Mhe.Ignas Kitusi akichangia jambo wakati wa ziara ya Kikazi ya Jaji Mkuu wa Tanzania kukagua shughuli za Mahakama wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Hamis akizungumza wakati wa ziara yake ya Kikazi kukagua shughuli za mahakama wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Chamwino wakimskiliza Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Hamis(hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya Kikazi kukagua shughuli za Mahakama Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Watendaji wa Mhakama ya Wilaya ya Kongwa wakimsikiliza  Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Hamis(hayupo picha) wakati akizungumza nao leo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.

Watendaji wa Mhakama ya Wilaya ya Kongwa wakimsikiliza  Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Hamis(hayupo picha) wakati akizungumza nao leo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Bw.Jabir Shekimweri  aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kongwa akizungumza  wakati wa ziara ya Kikazi ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Ibrahim Hamis kukagua shughuli za Mahakama Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Hamis akizungumza wakati wa ziara yake ya Kikazi kukagua shughuli za mahakama wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.Katika ziara hiyo Jaji Mkuu pia alikutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa.

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Hamis  akizungumza na Watendaji wa Mhakama ya Wilaya ya Kongwa  wakati wa ziara yake ya kikazi  kukagua shughuli za Mahakama Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi