Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Akutana na Wawekezaji Sekta ya Michezo Kutoka Misri.
Feb 25, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51183" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza jambo kwa Balozi wa Misri Nchini Tanzania, Mhe. Mohamed Gaber Abulwafa na ugeni wake kutoka Misri walipokutana leo Jijini Dar es Salaam, ambapo wawekezaji wa sekta ya Michezo kutoka Misri wanatarajia kujenga sehemu kubwa ya Michezo mbalimbali (Sports Arena) hapa Nchini.[/caption] [caption id="attachment_51184" align="aligncenter" width="750"] Wageni Kutoka Misri wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe walipokutana leo Jijini Dar es Salaam, ambapo wawekezaji wa sekta ya Michezo kutoka Misri wanatarajia kujenga sehemu kubwa ya Michezo mbalimbali (Sports Arena) hapa Nchini.[/caption] [caption id="attachment_51185" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa Kampuni kubwa ya Michezo ya Maccasa Sports akizungumza jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe,walipokutana leo Jijini Dar es Salaam, ambapo wawekezaji wa sekta ya Michezo kutoka Misri wanatarajia kujenga sehemu kubwa ya Michezo mbalimbali (Sports Arena) hapa Nchini.[/caption] [caption id="attachment_51186" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, akiteta Jambo na Mkurugenzi wa Michezo Yusuph Singo, walipokutana na Ugeni kutoka Misri ukiongozwa na Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe. Mohamed Gaber Abulwafa Leo Februari 25, 2020 Jijini Dar es Salaamembe [/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi