[caption id="attachment_48927" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo Novemba 14/2019.[/caption] [caption id="attachment_48928" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo. Novemba 14/2019 . Wengine kutoka kulia, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Teguest Mengtsu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, John Malecela na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii, Peter Serukamba.[/caption] [caption id="attachment_48929" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaaga wananchi baada ya kuzindua mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]