Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Makamu wa Raisi wa Cuba
Aug 27, 2017
Na
Msemaji Mkuu
[caption id="attachment_10579" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo ya kikazi na Makamu wa Rais wa Cuba, Bi. Gladys Bejarano katika Mji wa Havana nchini Cuba jana August 26/2017 Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu[/caption]