Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Atembelea Kiwanda cha Kuzalisha Sukari Nchini Cuba
Aug 25, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_10341" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo ya ukarabati wa kiwanda cha Sukari cha UGB . kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari nchini Cuba Bwana Francisco Martin, jana August 24/2017 kiwanda hicho kipo katika Mji wa San Nicola's de Bari nchini Cuba.[/caption] [caption id="attachment_10342" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia shehena ya sukari iliyo zalishwa katika kiwanda cha UGB Central Azucarero 30 Noviembre, Wakati alipotembelea kiwanda hicho jana August 24/2017 kilichopo katika mji wa San Nicola's de Bari Nchini Cuba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi