Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Akagua Ujenzi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi, Njedengwa Jijini Dodoma
Nov 18, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_49050" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), uliyopo Njedengwa, jijini Dodoma, ambao haujakamilika kwa wakati, Novemba 18, 2019.[/caption] [caption id="attachment_49051" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi (TBA), Humphrey Killo (kulia), wakati alipoenda kukagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), iliyopo Njedengwa, jijini Dodoma, Novemba 18, 2019, baada ya kutoridhishwa na maendeleo ya mradi huo.[/caption] [caption id="attachment_49052" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mwakilishi wa Meneja Mradi, kutoka Chuo Kikuu Ardhi, Godwin Maro (kulia), wakati alipoenda kukagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), iliyopo Njedengwa, jijini Dodoma, Novemba 18, 2019, baada ya kutoridhishwa na maendeleo ya mradi huo. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, Jaji Semistocles Kaijage. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi