Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mhagama Azungumza na Viongozi wa Vyama yya Wafanyakazi Mkoani Manyara
Jun 24, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_53496" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi kuhusu masuala mbalimbali ya wafanyakazi walipokutana katika ukumbi wa Hazina ndogo, Mkoani Manyara.[/caption] [caption id="attachment_53493" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Wilaya ya Manyara Mhe. Elizabeth Kitundu akieleza jambo wakati wa Mkutano huo.[/caption] [caption id="attachment_53494" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wa Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama alipokutana nao na jadiliana masuala mbalimbali kuhusu wafanyakazi.[/caption] [caption id="attachment_53492" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wa Mkoa Manyara alipokutana nao na kuzungumza masuala mbalimbali ya wafanyakazi. Kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Babati Vijijini Mhe. Vrajilal Jituson.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi