Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Kabudi Aongoza Kumbukumbu za Wataalam wa Kichina Waliofariki Wakati wa Ujenzi Reli ya TAZARA
Apr 05, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41805" align="aligncenter" width="640"] Prof. Palamagamba John Kabudi akihutubia katika hafla hiyo mara baada ya kumaliza zoezi la kuweka maua kwenye makaburi ya wataalam wa kichina waliofariki wakati wa ujenzi wa reli ya TAZARA. Katika Hotuba hiyo waziri Kabudi aliendelea kuusifu ushirikiano wa Tanzania na China katika sekta mbalimbali ambapo Ujenzi wa reli hiyo ulipelekea kuanzishwa kwa viwanda mbalimbali.[/caption] [caption id="attachment_41806" align="aligncenter" width="640"] Prof. Palamagamba pamoja na Mhe. Wang Ke wakiweka maua katika moja ya kaburi la wataalam hao.[/caption] [caption id="attachment_41807" align="aligncenter" width="640"] Prof. Palamagamba John Kabudi akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya vifo vya wataalam hao.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi