[caption id="attachment_39806" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Madini, Doto Biteko (kushoto) akizungumza na watendaji wa kampuni inayojishughulisha na uyeyushaji wa madini ya bati katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ya Tanzaplus. Waliokaa kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Madini, Augustine Ollal, na Upendo Fatukubonye na Hamis Mhando ambao ni watendaji kutoka kampuni ya Tanzaplus.[/caption] [caption id="attachment_39807" align="aligncenter" width="800"] Mkurugenzi kutoka kampuni ya Tanzaplus, Hamis Mhando (kulia) akielezea jinsi teknolojia ya mfumo wa usimamizi wa uzalishaji, usafirishaji na uuzaji wa madini inavyofanya kazi.[/caption] [caption id="attachment_39808" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Madini, Doto Biteko akisisitiza jambo katika kikao hicho.[/caption] [caption id="attachment_39809" align="aligncenter" width="800"] Wataalam kutoka Wizara ya Madini wakinukuu maelekezo mbalimbali yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa Madini, Doto Biteko (hayupo pichani)[/caption]