Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wakazi wa Mtaa wa Mji Mpya Wapewa Msaada wa Vyoo
Sep 07, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_12481" align="aligncenter" width="750"] Mhandisi wa Maji toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Gratius Haule akisisitiza jambo kwa wakazi wa Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vyoo kwa baadhi ya wakazi hao ambavyo vimejengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12482" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti wakimsikiliza Mhandisi wa Maji toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Gratius Haule wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vyoo kwa baadhi ya wakazi hao ambavyo vimejengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12484" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Taasisi Bridge for Change Bw. Ocheck Msuva akifafanua jambo kwa wakazi wa Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vyoo kwa baadhi ya wakazi hao ambavyo vimejengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12487" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa wakazi wa Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti Mzee Mbesela akiwashauri wakazi wa mtaa huo waliobahatika kujengewa vyoo na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI) kuvitunza vyoo hivyo ili viweze kuwasaidia kwa muda mrefu.[/caption] [caption id="attachment_12488" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti Bw. Rahim Gassi akitoa salamu za shukrani kwa viongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI) kwa kufanikisha mradi wa ujenzi wa vyoo katika mtaa wake.[/caption] [caption id="attachment_12490" align="aligncenter" width="750"] Mhandisi wa Maji toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Gratius Haule (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa vyoo katika Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti, vyoo hivyo vimejengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI).[/caption] [caption id="attachment_12491" align="aligncenter" width="750"] Moja ya choo cha kisasa kilichojengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI) kwa wakazi wa Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti. (Picha na Eliphace Marwa -Maelezo)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi