Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Uzinduzi wa Mv Rubondo Chato, Geita
Jun 23, 2020
Na Msemaji Mkuu

Muonekano wa Kivuko cha kisiwa cha  Rubondo, Kivuko kitakachofanya safari zake kutokea Kasenza-Chato kuelekea Kisiwani Rubondo ikiwa ni juhudi zakufungua utalii Kanda ya Ziwa. [caption id="attachment_53459" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi, John Kijazi  akiwa  na  Waziri wa Nishati,  Dkt Medard Kalemani,Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constatine Kanyasu,, na  Mkuu wa Mkoa wa  Geita, Mhandisi Robert Gabriel wakiwa kwenye kivuko wakielekea Kisiwani Rubondo[/caption] [caption id="attachment_53457" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi, John Kijazi akiwa  katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA, Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jeneral George Waitara, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constatine Kanyasu, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel, Waziri wa Nishati, Medard Kalemani pamoja na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla fupi ya uzinduzi wa Kivuko cha kisiwa cha Rubondo na utalii wa sokwe leo tarehe 22 Juni, 2020.[/caption] [caption id="attachment_53456" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa ndani wa MV Rubondo. Kivuko kina uwezo wakubeba abiria 50 na gari 6 kwa wakati mmoja.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi