Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Upanuzi wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha katika picha
Jan 22, 2020
Na Msemaji Mkuu

Upanuzi wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha unaendelea kwa kasi kubwa kama inavyoonekana pichani katika maeneo ya Kimara, Mbezi na Kibamba hivyo kuanza kupunguza msongamano mkubwa wa magari katika barabara hiyo ya Morogoro.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi