Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Upanuzi wa Barabara ya Morocco – Mwenge washika kasi
Jan 22, 2020
Na Msemaji Mkuu

Upanuzi wa Barabara ya Morocco – Mwenge ukiendelea kwa kasi katika eneo la Sayansi na Bamaga pamoja na Barabara ya Shekilango-Bamaga inayojengwa pia kwa njia nne kama inavyoonekana pichani. [caption id="attachment_50334" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Mitaa ya Mwananyamala Bwawani ambayo barabara zake zimejengwa kwa Zege na kuondoa kero ya miaka mingi ya barabara hizo za mitaa. [/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi