Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ujenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kwenye Mji wa Serikali, Ihumwa Dodoma Washika Kasi.
Jan 14, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39710" align="aligncenter" width="1000"]
Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji wa Serikali, Ihumwa, linaloendelea kujengwa na Mkandarasi Mzinga Holding Company, tarehe 13 Januari, 2019, Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39711" align="aligncenter" width="1000"] Mmoja wa mafundi wa Mkandarasi Mzinga Holding Company, akijenga sehemu ya ukuta wa jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu, katika mji wa serikali, Ihumwa Dodoma, tarehe 13 Januari, 2019.[/caption] [caption id="attachment_39712" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Florence Turuka akikaribishwa na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi Rasilimali watu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Nigel Msangi, alipofika kukagua shughuli za Mkandarasi Mzinga Holding Campony, anayejenga jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji wa serikali Ihumwa Dodoma., Mkandarasi huyo yupo chini ya Wizara ya Ulizi, mwingine ni Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA-JKT, Kanali Rajab Mabele, tarehe 13 Januari, 2019.[/caption] [caption id="attachment_39713" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Florence Turuka akipata maelezo kutoka kwa Mratibu Ujenzi jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mkandarasi Mzinga Holding Company, Kapteni, Erick Siara wakati alipofika kukagua shughuli za Mkandarasi huyo katika mji wa serikali, Ihumwa , Dodoma, Mkandarasi huyo yupo chini ya wizara ya Ulizi, tarehe 13 Januari, 2019.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi