[caption id="attachment_14507" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe(Kulia) akisainishana Mkataba wa Program ya Urithi wa Ukombizi wa Bara la Afrika na Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Mhe. Nathi Mthethwa(Kushoto) Jana tarehe 19 Sept 2017 mjini Dodoma.
[/caption]
[caption id="attachment_14509" align="aligncenter" width="923"] Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe(Kulia) akibadilishana Mkataba wa Program ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika na Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Mhe. Nathi Mthethwa(Kushoto) Mara baada ya kusaini Mkataba huo mjini Dodoma jana. Wanyuma ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akishuhudia tukio hilo.[/caption]