Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Tanzania kufaidika na mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na Jinsia
Jan 24, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39933" align="aligncenter" width="800"] Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs juu ya mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia Ofisini kwake Jijini Dodoma.[/caption]

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa  akifafanaua jambo kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake )  na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou(wa Tatu kulia) juu ya mradi  wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akiongoza kikao cha kujadili juu ya mradi  wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia.Kikao hicho kimeudhuriwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake )  na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou.Mradi huo wa miaka mitatu ambapo Tanzania itapata bilioni mbili ili kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia.

Wajumbe kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakifuatilia kikao kati yao na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake )  na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou ) juu ya mradi  wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia leo  Jijini Dodoma.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi