Rais wa Zanzibar, Dkt Mwinyi Azungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala Ikulu Leo.
Feb 04, 2021
Na
Msemaji Mkuu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania, Dkt. Anna Peter Makakala alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katikia ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania, Dkt. Anna Peter Makakala, alipofika ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania, Dkt. Anna Peter Makakala (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizia mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)