Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein Afanya Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi Lugola Ikulu Zanzibar Leo
Nov 19, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38426" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Alphaxard Lugola, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha. Viongozi wengine waandamizi wa Wizara hiyo waliombatana na Waziri Lugola ni pamoja na Katibu Mkuu, Meja Jenerali Jocob G.Kingu (Suti ya bluu)  na Naibu Katibu Mkuu Ndg. Kailima Ramadhan.
[/caption]   [caption id="attachment_38424" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola pamoja na viongozi waandamizi wa wizara hiyo walipofika kujitambulisha na kufanya mazungunzo leo Ikulu Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_38422" align="aligncenter" width="736"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Kangi Lugola, baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Zanzibar leo 19/11/2018.(Picha na Ikulu )[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi