Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa DRC Atembelea Bandari ya Dar Es Salaam, Akagua Maendeleo ya Ujenzi wa SGR
Jun 14, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44386" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akipewa maelezo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na njia itamopita wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es Salaam leo Juni 14, 2019.[/caption] [caption id="attachment_44387" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akitambulishwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe kwa Mkurugenzi Mkuu Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa alipofika kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR na njia itamopita wakati alipotembelea sehemu ya mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019[/caption]   [caption id="attachment_44390" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akioneshwa mataluma ya reli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe kwa viongozi wa kampuni ya upakuaji Makontena ya Tanzania International Containers Terminal Services (TICTS) alipotembelea Bandari ya Dar es salaam jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi