Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Aongoza Kikao Kazi cha Mawaziri
Jan 12, 2026
Waziri Mkuu Aongoza Kikao Kazi cha Mawaziri
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika, Januari 12, 2026, katika ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika, Januari 12, 2026, katika ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma.

Katika mkutano huo, viongozi hao wamejadili utekelezaji wa masuala mbalimbali ya Serikali yanayolenga kuimarisha utendaji kazi na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi