Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Shein Ahutubia Ufunguzi wa Bunge la Afrika Mashariki Chukwani Zanzibar.
Feb 27, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40869" align="aligncenter" width="1000"] Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuanza kikao hicho, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar jana.[/caption] [caption id="attachment_40870" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga wamesimama wakati Wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki ukipigwa kabla ya kuaza ufunguzi wa Bunge la Afrika Mashariki linalofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_40871" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki, katika jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar wakati wa ufunguzi huo[/caption] [caption id="attachment_40872" align="aligncenter" width="1000"] Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga, akizunguma kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein kulihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi