Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Akagua Magari ya Jeshi ya Kikosi Cha Usafirishaji Cha 95KJ Ambayo Yanaweza Kutumika Kubebea Korosho Katika Mikoa ya Kusini
Nov 10, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38007" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Askari mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hawaonekani (pichani) katika Kambi ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. Magufuli ametoa maagizo kwa Kikosi hicho cha 95KJ kubeba Korosho zote zitakazo nunuliwa na Serikali iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatatii agizo la Serikali ifikapo siku ya jumatatu saa kumi alaasiri.[/caption] [caption id="attachment_38008" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo wakielekea kwenye viwanja vya Kambi ya 95KJ kukagua magari ya Kikosi hicho ambayo yatatumika kubeba korosho katika mikoa ya Kusini iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatatii agizo la Serikali ifikapo siku ya jumatatu saa kumi alaasiri.[/caption] [caption id="attachment_38010" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Madereva wa Kikosi cha Usafirishaji cha Jeshi 95KJ ambao wapo tayari kutekeleza maagizo ya Serikali baada ya siku ya jumatatu saa 10 alaasiri iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatanunua korosho zilizopo katika mikoa ya kusini.[/caption] [caption id="attachment_38012" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania CDF Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kukagua magari hayo ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_38014" align="aligncenter" width="750"] Askari mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakimsikiliza Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza katika Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_38015" align="aligncenter" width="750"] Askari mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakimsikiliza Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza katika Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_38016" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimiana na Askari mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi