Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Ahutubia Katika Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa Nchini
Nov 01, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37697" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa Mshiriki Maalum, akizungumza na Wageni mbalimbali wakiwemo Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Viongozi wa Kiserikali, Mabalozi kutoka nchi mbalimbali, pamoja na wananchi waliohudhuria katika Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano lililofanyika katika ukumbi wa Nkuruma uliopo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_37698" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa Mshiriki Maalum akiwa pamoja na washiriki wengine wakisikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Watoa Mada katika Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano lililofanyika katika ukumbi wa Nkuruma uliopo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_37699" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano wakisikiliza kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum alipokuwa akizungumza katika ukumbi wa Nkuruma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_37703" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliokuwa nje ya Ukumbi wa Nkuruma wakifatilia Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano kwa njia ya Luninga wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum alipokuwa akizungumza katika ukumbi wa Nkuruma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_37700" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum katika Kongamano hilo akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Wasichana ya Kisutu mara baada ya kutoka katika Ukumbi wa Nkuruma katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_37702" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Watoa Mada wakiwa Wanasikiliza michango mbalimbali iliyokuwa ikitolewa katika Ukumbi wa Nkuruma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Profesa Humphrey Moshi, Profesa Kitila Mkumbo, Makamu Mkuu wa Chuo Profesa William Anagisye, Profesa Rwekaza Mukandala, Profesa Martha Qorro pamoja na Profesa Hudson Nkotagu[/caption] [caption id="attachment_37701" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum katika Kongamano hilo akiandika baadhi ya Hoja katika Kongamano hilo. (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi