Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri wa Madini akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Jijini Dar es Salaam.
Feb 19, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51072" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo, akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini (hawapo pichani), leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23,2020.[/caption] [caption id="attachment_51073" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo, akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini (pichani), leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23,2020.[/caption] [caption id="attachment_51074" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo akiandika swali kutoka kwa Mhariri, Abdalah Majura, wakati wa Mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23,2020.[/caption] [caption id="attachment_51075" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo wakati wa Mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23,2020.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi