Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Sima Aongoza Ujumbe wa Tanzania Katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Poland
Dec 11, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38781" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akisalimiana na Katibu Mkuu wa World Meteorological Organization, Prof. Petteri Taalas. Naibu Waziri Sima anaongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 24 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea Katowice Poland. Kushoto ni Bw. Freddy Manyika Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira.[/caption] [caption id="attachment_38779" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchi Dkt. Agnes Kijazi akizungumza na Prof. Petteri Taalas Katibu Mkuu wa World Meteorological Organization, katika moja ya mikutano inayoendelea Nchini Poland. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima.[/caption] [caption id="attachment_38783" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Prof. Petteri Taalas Katibu Mkuu wa World Meteorological Organization, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchi Dkt. Agnes Kijazi na Bw. Freddy Manyika Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira mara baada ya kukamilika kwa kikao baina yao, Katowice Poland.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi