Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Anastazia Wambura Akiwa Katika Matukio Mbalimbali Bungeni Dodoma
Sep 06, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_12175" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Miss Garden Route Witness Kavumo (kulia) ambaye ni Mtanzania aliyeshinda taji hilo nchini Afrika Kusini mara baada ya kikao cha Bunge leo mjini Dodoma. Na kushotoni Deogratiacias Masaga Mmiliki wa Kampuni ya Mitindo ya VAA Afrika.[/caption] [caption id="attachment_12178" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Wizara Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura (aliyevaa miwani) akifuatilia Taarifa ya Ripoti za Kamati zilizoundwa na Mhe. Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai kuchunguza makinikia ya madini ya Almasi na Tanzanite leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji. (Picha na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi