Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Ummy Asisitiza Tanzania Hakuna Ugonjwa wa Ebola
Oct 03, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47538" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu, akionesha moja ya bango lenye maelezo ya jinsi ya kijikinga na ugonjwa wa Ebola mbele ya Waandishi wa Habari (Hawapo pichani), katika Mkutano uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julias Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_47539" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu, akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu uvumi wa ugonjwa wa Ebola, katika Mkutano uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julias Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 3, 2019.[/caption] [caption id="attachment_47541" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Leonard Subi akiandika anayoyasikia kwenye Mkutano wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu(kushoto) wakati wa mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julias Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 3, 2019.(Picha na Idara ya Habari-MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi