Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi Za Afrika Adis Ababa Ethiopia
Feb 11, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40323" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa kampuni ya Liyan African iliyowekeza nchini Tanzania Hakim El- Shwehdi, kwenye ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Adis Ababa Ethiopia Februari 10, 2019, Waziri Mkuu yupo nchini Ethiopia kumwakilisha Rais Magufuli kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika (AU), katikati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Augustine Mahiga.[/caption] [caption id="attachment_40325" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini Thabo Mbeki, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Adis Ababa Ethiopia Februari 10, 2019, (katikati) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Augustine Mahiga, Waziri Mkuu yupo nchini Ethiopia kumwakilisha Rais Magufuli kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika (AU).[/caption] [caption id="attachment_40326" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika (AU) kumwakilisha Rais Magufuli, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Adis Ababa Ethiopia Februari 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi