Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mbunge wa Jimbo la Misungwi Mhe. Charles Kitwanga ambaye amelazwa katika wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam kwa matibabu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akifanya sala maalum ya kumuombea Mbunge wa Jimbo la Misungwi Mhe. Charles Kitwanga ambaye amelazwa katika wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam kwa matibabu.