Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Respicious Boniface akizungumza wakati wa uzinduzi wa kongamano la 6 la madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo ,Mishipa ya fahamu linalofanyika katika Taasisi ya MOI kuanzia leo Novemba 11-15, 2019.
Dk. Roger Hartl kutoka chuo kikuu cha Weill Cornell cha Marekani akizungumza wakati wa kongamano la 6 la kimataifa la madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu. Madaktari Bingwa kutoka katika mataifa mbalimbali wakifuatilia mada katika kongamano la kimataifa la madaktari bingwa wa Ubongo,Mgongo na Mishipa ya Fahamu.