Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Sep 12, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46763" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019.[/caption] [caption id="attachment_46764" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kushoto) Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).[/caption] [caption id="attachment_46765" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma, Septemba 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi