Matukio Katika Picha Ziara ya Waziri Mkuu Wami Dakawa Morogoro Ulipojengwa Mnara wa Kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine
Apr 10, 2019
Na
Msemaji Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mnara wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliopo Wami Dakawa wilayani Mvomero, akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Aprili 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)