Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Akikabidhi Nyumba 103 Idara ya Uhamiaji
Jun 03, 2020
Na Msemaji Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba 103 kwa Idara ya Uhamiaji Jijini Dodoma leo June 2, 2020 [caption id="attachment_52931" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi funguo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, kama ishara ya kukabidhi nyumba 103, kwa akijili ya Makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nichini, zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Juni, 2, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_52930" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea funguo, kutoka kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, kama ishara ya kukabidhiwa nyumba 103, kwa akijili ya Makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nichini, zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Juni, 2, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_52932" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akimkabidhi funguo, Kamishina Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala, kama ishara ya kukabidhiwa nyumba 103, kwa akijili ya Makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nichini, zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Juni, 2, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_52933" align="aligncenter" width="750"] Kamishina Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala, akionesha ishara ya funguo, baada ya kukabidhiwa nyumba 103, kwa akijili ya Makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nichini, zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Juni, 2, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_52934" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe, wakati akizindua nyumba 103 za Makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nichini, zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Juni, 2, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] Sehemu ya watumishi na Maafisa  wa Idara ya uhamiaji wakifuatilia hotuba ya  Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba 103 kwa idara hiyo June 2, 2020.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi