Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC
Sep 17, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47004" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi), Dkt.Leonard Chamuliho, akiongoza Kikao cha Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), katika Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam .[/caption] [caption id="attachment_47005" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Miundombinu Sekritarieti ya Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Mapolao Rosemary Makoena akiandika anayoyasikia wakati wa Mkutano wa Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam .[/caption] [caption id="attachment_47006" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano(Uchukuzi), Dkt.Leonard Chamuliho (wa kwanza kulia) Mkurugenzi wa Miundombinu Sekritarieti ya Jumuiya ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), Mapolao Rosemary Makoena (katikati) na Afisa Mkuu wa Kitengo cha Tehama (ICT), Dkt. George Al. Thew (kushoto) Wakisikiliza michango ya Washiriki wa Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam .[/caption] [caption id="attachment_47007" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi), Dkt.Leonard Chamuliho, Mkurugenzi wa Miundombinu Sekritarieti ya Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Mapolao Rosemary Makoena wakiteta jambo wakati wa Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam .[/caption] [caption id="attachment_47008" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi) Dkt.Elius Mwakalinga, akifuatilia Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_47009" align="aligncenter" width="750"] Mshauri wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Bandari nchini Angola Bernadino Amelia akifuatilia Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_47011" align="aligncenter" width="750"] Wakuu wa Taasisi Mbalimbali Kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wakiwa katika Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_47012" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Huduma za Ndege Tanzania (TCAA), Hamza Johari akifafanua jambo kwa Washiriki wa Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julias Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi