Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Leo Bungeni Mei 20, 2019
May 20, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43172" align="aligncenter" width="899"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mhe. Kangi Lugola akisisitiza kuhusu agizo lake lakuwataka askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini kuzingatia sheria wanapowachukulia hatua waendesha bodaboda kote nchini leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43171" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya wabunge wakiwasili katika Viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Bunge unaoendelea Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43173" align="aligncenter" width="900"] . Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. Dkt. Angelina Mabula akieleza mikakati ya Serikali kuimarisha utendaji wa watumishi wa sekta ya ardhi nchini leo Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu.[/caption] [caption id="attachment_43174" align="aligncenter" width="900"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo mara baada ya kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43175" align="aligncenter" width="900"] Mbunge wa Mtama mhe Nape Nnauye akisisitiza umuhimu wa kuimarisha sekta ya kilimo hapa nchini hasa mazao ya kimkakati kama korosho leo Bungeni jijini Dodoma wakati wa mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo.[/caption] [caption id="attachment_43176" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa Waziri wa habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na Mwanasheria mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilangi (Katikati) leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43177" align="aligncenter" width="821"] Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanaosoma masomo ya Sayansi ya Siasa wakiwa Bungeni kwa ziara ya mafunzo leo Jijini Dodoma.(Picha zote na Frank Mvungi)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi