Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Leo Bungeni
Feb 04, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40085" align="aligncenter" width="800"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza Bungeni na kuiomba Serikali kutoa tamko kuhusu hatua ambazo imeshachukua kuhusu hali ya mauaji ya watoto Mkoani Njombe kabla ya Bunge hilo kuhairishwa wiki hii.[/caption] [caption id="attachment_40084" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40083" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akijibu hoja mbalimbali za Wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40082" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akijibu maswali mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40087" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama akitoa tamko la Serikali la kuleta taarifa ya Serikali kuhusu hatua ambazo ishachukua juu ya mauaji ya watoto Mkoani Njombe[/caption] [caption id="attachment_40086" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Palamagamba Kabudi akiteta Jambo na Waziri wa Madini Mhe.Doto Biteko leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi