Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Apr 09, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41990" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angellah Kairuki akijibu hoja za baadhi ya wabunge wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu leo Bungeni leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41991" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akijibu swali wakati wa kikao cha sita cha Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41992" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akijibu swali wakati wa kikao cha sita cha Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41993" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akijibu swali wakati wa kikao cha sita cha Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41994" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira akijibu hoja za baadhi ya wabunge wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu leo Bungeni leo jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angellah Kairuki.[/caption] [caption id="attachment_41995" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bunge leo jijini Dodoma. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI, Selemani Jaffo.(Picha na: Frank Shija – MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi